Kwa Mnunuzi
Tafuta bidhaa, ongeza cart, fuata order yako, kisha confirm delivery unapopokea bidhaa.
Nenda KununuaKwa Muuzaji
Ona orders, badilisha status, angalia stock, na fuatilia report zako za mauzo.
Fungua DashboardMsaada
Ukipata changamoto ya login, order, au product, tuma email au tumia support ya footer.
Tuma EmailMaswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Majibu yako hapa chini yanaonekana moja kwa moja ili yasipotee unapobofya.
1Ninawezaje kujisajili?
Bonyeza Jisajili, chagua kama ni mnunuzi au muuzaji, kisha jaza taarifa zako na uthibitishe akaunti.
Ukishajisajili, utaweza kuendelea na order au dashboard kulingana na role yako.
Kidokezo: ukisahau sehemu yoyote, scroll chini kwa "Hatua za haraka".
2Nawezaje kufanya order?
Tafuta bidhaa, fungua product detail, ongeza cart, kisha kamilisha checkout ukiwa umeingia kwenye akaunti.
Kwa sasa malipo mengi ni cash delivery, hivyo fuata hatua za confirmation kwa makini.
Baada ya checkout, utaona order yako kwenye sehemu ya Orders.
3Nifanye nini nikisahau password?
Nenda kwenye ukurasa wa kuingia kisha chagua Umesahau neno la siri?
Utaingiza email yako na utapata link ya kubadili password.
Reset link huenda kwenye email uliyotumia kujisajili.
4Nawezaje kuwasiliana na SokoFlow?
Tuma barua pepe kwa info@sokoflow.co.tz au sokoflow@gmail.com.
Pia unaweza kutumia WhatsApp au viungo vilivyo chini ya page.
Tunaweza kukusaidia pia kwa support ya login, order, bidhaa, au vendor dashboard.